Home Page!
Affirmed in latent tradition

Imekubalika katika Mapokeo Yasiyoridhiwa.

Background music?

Tunu ya mafundisho yaliyofunuliwa imo katika imani ya waamini wote. Hii ndiyo sehemu yake ya asili. Inajulikana kama maana ya imani au maana ya waamini..

Kanisa lafundisha kwamba, waamini wote kwa jinsi ya mpako wao waliopakwa na Yule aliye Mtakatifu, hawawezi kukosea katika mambo ya imani (Lumen Gentium & sect 12).)

Mapokeo ya kweli ya Kanisa, mara nyingine, siyo yale yanayoelezwa hadharani, bali ni mapokeo yasiyoridhiwa, , mapokeo yaliyo ndani ya mioyo ya waamini.

Huu ni ukweli wa mapokeo yasiyoridhiwa. Waamini daima wamekuwa wanajua katika mitima yao ya mioyo kwamba wanawake wanaweza wakawa mapadre pia.Mary was venerated as priest!





Mojawapo ya mfano wa mapokeo yasiyoridhiwa ni Ibada ya zamani kwa Maria kama Kuhani.

Watu waliamini hakika kwamba Maria alikuwa Kuhani, naam, kwa sababu kuu nne: Maria alitoka katika familia ya kikuhani. Maria alifanya shughuli za kikuhani. Maria alitupa Ekaristia na Maria hutoa msamaha wa dhambi.

Ibada kwa Maria kama Kuhani imekuwepo katika historia ya Kanisa wakati wote..

Mapokeo yanasisitiza jukumu la Maria kama kuhani Katika kumtoa Yesu hekaluni na wakati ule wa kusulubiwa pale Kalvari

Ibada hiyo iliendelea hadi mwaka 1927,wakati ilipoondolewa ghafla na Uongozi Mtakatifu pengine kwa ajili ya dhana ya daraja kwa wanawake.


  Ingawaje alikuwa amependelewa, Mama yake Yesu alikuwa mawnamke. Kama Maria alikuwa kuhani, basi hata mwanamke yeyote aliyebatizwa anaweza akawa.

Huu ni ukweli wa mapokeo yasiyoridhiwa. Waamini daima wamekuwa wanajua katika mitima yao ya mioyo kwamba wanawake wanaweza wakawa mapadre pia.

 
    Go to the next step?
1 2 3 4 5 6 7
baptised empowered liberated ordained affirmed supported called


Do you wish to translate this page via google translator?

You (i) first need to copy the URL of this page (from top bar of your browser), (ii) click on this link, (iii) paste the URL into the google converter. Then choose your language and click "translate".

Please, support our campaign
for women priests

 
Join our Women Priests' Mailing List
for occasional newsletters:
Email:
Name:
Surname:
City:
Country:
 
An email will be immediately sent to you
requesting your confirmation.