Home Page!
One priesthood in Christ

Ukuhani mmoja katika Kristu.

Background music?

Moja kati ya sababu kuu saba ambazo kwazo wanawake wanaweza wakahudumu kama makuhani.

Nyakati za Agano la kale,hakika,wanawake walichukuwa wa nafasi ya pili katika dini. Kwa kuwa wanawake hawakutahiriwa, hawakuwa watu wa Agano kwa njia ya kipekee. Wasingeweza kutolea sadaka zao wenyewe. Waliwategemea wanaume daimai, hata katika mambo ya kidini.

The mystery of baptism Yesu Kristu alibadilisha hayo yote.
Kila mwanamke aliyebatizwa huwa Kristu mwingine, kama vile mwanaume alivyo. "Wote waliobatizwa katika Kristu, wamemvaa Kristu, hakuna tena ubaguzi kati ya Wayahudi na wasio Wayahudi, mtumwa na aliye huru, mwanaume na mwanamke Each woman who is baptised becomes another Christ, just as a man is.
” (Wagalatia 3:28).
Kila mwanamke aliyebatizwa, hushiriki ukahani, ufalme na unabii wa Kristu.

Ubatizo unaashiria mlango wa msingi kwa sakramenti zote, ikiwa ni pamoja na daraja la upadre.
Go to the next step?
1 2 3 4 5 6 7
baptised empowered liberated ordained affirmed supported called


Do you wish to translate this page via google translator?

You (i) first need to copy the URL of this page (from top bar of your browser), (ii) click on this link, (iii) paste the URL into the google converter. Then choose your language and click "translate".

Please, support our campaign
for women priests

 
Join our Women Priests' Mailing List
for occasional newsletters:
Email:
Name:
Surname:
City:
Country:
 
An email will be immediately sent to you
requesting your confirmation.