Home Page!
YESU ALIWAPA WANAWAKE UWEZO WA KUADHIMISHA EKARISTI

YESU ALIWAPA WANAWAKE UWEZO WA KUADHIMISHA EKARISTI

Background music?

Kwenye Karamu ya mwisho Yesu aliweka sakramenti ya Ekaristi. Alitaka kubakia kwenye jumuiya yake wakati wote. Pamoja nao angeendelea kumshukuru Baba kupitia kwenye mambo ya Kisakramenti ya mkate na divai. Yesu alisima, "fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu!"

Hakika, hilo limeeleweka kuwa ni namna ya kuwapa wafuasi wake uwezo wa kuadhimisha Ekaristi katika jina lake. Mtaguso wa Trento, ulitanabaisha hayo kwa maneno haya: "Kwa maneno 'Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu!', Kristu aliwasimika mitume kama mapadre, na kuhalalisha kuwa wao na mapadre wengine lazima watolee mwili na damu yake. Hiki ndicho kila wakati Kanisa hufundisha" (1562 AD; denz. No 1740, 1752).

What only men at the Last Supper?

Wakati wa Zama za Kati watu wote walifikiri kwamba ni wanaume tu walikuwepo wakati wa karamu ya mwisho. Hiki ndicho Leonardo da Vinci alikiashiria kwenye michoro yake maarufu (ona maelezo juu). Katika maneno ya Durandus Mtakatifu-Pourcain (1270-1334 AD): "Kristu aliwapa daraja wanaume tu alipowapa mamlaka ya kuweka wakfu."

Lakini hilo ni kweli? Wanawake hawakuwepo?

At the Last Supper women were there!

KARAMU YA MWISHO na Bohdan Piasecki.

Karamu ya mwisho ilikuwa mlo wa Pasaka.

Tunajua hili kutoka katika Injili. Yesu alipenda mitume wake waiandae kama Pasaka. "Nimetamani sana kula Pasaka hii pamoja nanyi (Lk 22:7-16).
Sasa twafahamu kutoka katika Injili kwamba wanawake kila mara walishiriki katika milo ya jumuiya na Yesu.
Ilikuwa njia mojawapo ya kuashiria uwepo wa Ufalme mpya wa Mungu.

Zaidi ya hayo, familia yote pamoja na wanawake, iliwapasa walishiriki katika mlo wa Pasaka (Kutoka 12:1-4).
Injili zinataja kuwasili kwa Yesu na wale thenashara 'jioni' (Marko 14:17), bali wafuasi wengine waliokuwa wamefanya maandalizi walikuwepo tayari pale. Walikuwepo wanawake pia.


  Hivyo basi, twaweza kuwa na uhakika kwamba Mamaye Yesu na wafuasi wanawake wengine walikuwepo kwenye karamu ya mwisho.


Ni kwa wafuasi wote Yesu alisema kwamba "Huu ni mwili wangu.
Twaeni mle wote.
Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu!
Hii ni Damu yangu
Twaeni mnywe wote!
Mfanyapo hivi itakuwa kwa ukumbusho wangu(Mathayo 26:26-28; 1Kor 11:23-25).


Maneno ya Yesu "Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu" yalielekezwa kwa wafuasi wote waume kwa wake. Kwa hiyo, Yesu aliwawezesha wote kupokea Daraja takatifu na kuadhimisha Ekaristi.
 
    Go to the next step?
1 2 3 4 5 6 7
baptised empowered liberated ordained affirmed supported called

This website is maintained by the Wijngaards Institute for Catholic Research.

See our Documented Appeal to Pope Francis to Request the Re-instatement of the Ordained Diaconate for Women.

Wijngaards Institute for Catholic Research

Dear visitor, you are welcome to use our material. However: building up and maintaining this site costs money. We are a Charity and work mainly with volunteers, but find it difficult to pay our overheads. Please, become a Friend or support us with a donation. Also, as some of you recommended to us, we are exploring how to generate income by advertising. Please, support us in this effort and send us your suggestions.
John Wijngaards

Wijngaards Institute for Catholic Research

Miriam Duignan


Please, support our campaign
for women priests

Visit our new websites:

Natural Law and Conscience

Synod on the Family 2015

Catholics and Contraception

Join our Women Priests' Mailing List
for occasional newsletters:
Email:
Name:
Surname:
City:
Country:
 
An email will be immediately sent to you
requesting your confirmation.