Home Page!
Supported by developments in other Christian Churches

LAUNGWA MKONO NA MAENDELEO KATIKA MAKANISA MENGINE YA KIKRISTU

Background music?


Mtaguso wa Vaticano unafundisha
kwamba Kanisa Katoliki halina budi lijifunze
kutoka kwenye makanisa mengine ya Kikristu.

Wote waliohesabiwa haki na imani katika ubatizo wameingizwa kwa Kristu. Hakika, wanaitwa Wakristu. Kwa sababu njema wanakubalika kama ndugu na watoto wa Kanisa Katoliki (Ecumenism & sect § 3)

"Wingi wa vitu na zawadi zaidi ambazo kwa pamoja zinajenga na kutoa uhai kwa Kanisa lenyewe, vyaweza kupatikana nje ya Kanisa Katoliki(Ecumenism & sect § 3)

"Kristu hulialika Kanisa, katika hija yake, kuendeleza matengenezo ambayo daima linahitaji"(Ecumenism 7sect § 5)

God is also at work in other Churches! Katika Makanisa mengine ya Kikristu wanawake wanaruhusiwa kushiriki katika huduma zote za kidaraja.

Hii siyo tu kwa makanisa ya kiinjilisti, bali pia katika baadhi ya makanisa makuu yaliyo karibu na mapokeo ya Kikatoliki, kama vile Wakatoliki wa Kale, Wamethodisti, Waanglikana, na Waepiskopaliani.
Ona mfano hapa.

Kuwapokea wanawake katika huduma hii ni matokeo ya mchakato mrefu wa sala na utafiti wa ndugu zetu wakristu.
Msukumo wao thabiti na utafutaji wa asili wa yale Yesu aliyotaka kweli, waweza kusomwa katika uchapishaji wa kazi nyingi za kfasaha.


  Mfano wa Makanisa mengine ya Kikristu hauthibitishi usahihi wa kuwapa daraja wanawake katika mtindo halisi.

Bali ni ishara thabiti kwamba huu ni mwelekeo ambao Roho Mtakatifu anataka vile vile ndani ya Kanisa Katoliki.
 
    Go to the next step?
1 2 3 4 5 6 7
baptised empowered liberated ordained affirmed supported calledThis website is maintained by the Wijngaards Institute for Catholic Research.

See our Documented Appeal to Pope Francis to Request the Re-instatement of the Ordained Diaconate for Women.

Wijngaards Institute for Catholic Research

Dear visitor, you are welcome to use our material. However: building up and maintaining this site costs money. We are a Charity and work mainly with volunteers, but find it difficult to pay our overheads. Please, become a Friend or support us with a donation. Also, as some of you recommended to us, we are exploring how to generate income by advertising. Please, support us in this effort and send us your suggestions.
John Wijngaards

Wijngaards Institute for Catholic Research

Miriam Duignan


Please, support our campaign
for women priests

Visit our new websites:

Natural Law and Conscience

Synod on the Family 2015

Catholics and Contraception

Join our Women Priests' Mailing List
for occasional newsletters:
Email:
Name:
Surname:
City:
Country:
 
An email will be immediately sent to you
requesting your confirmation.