|
|---|
|
Papa na maaskofu wanajukumu kuu la kuelekeza kupitia kwa mafunzo yao ya kidini tabia na mienendo ya wafuasi wao.Walakini haya yatakiwa kuwa kwenye misingi ya kidini na wala sio kwenye njia nyingine yoyote ile.
Pendekezo la kurekembisha ambako kulinuiwa kufanya ushupafu naumaarufu wa sheria kama njia kuidhinasha matendo ya binadamu katika kikao cha Vatican 2, lilikataliwa kwa kuwa kinyume na utamaduni. Vatican II, Acta synodalia III/1, pp. 198-199; R.R.Gaillardetz, Teaching with Authority. A Theology of the Magisterium in the Church, Liturgical Press 1997, p. 154.
Mwili wa muumini kama ulivyotakazwa na roho mtakatifu hauwezi kukokesea katika swala la kuamini ( 1 yohana 2,20.27)Vatican II, Lumen Gentium, § 12 |
Watu wa mungu hushikilia kwa wanachoamini wanapookolewa,na huwa wqanaongozwa nao maishani.Vatican II, Lumen Gentium, § 12 |
Kwa sababu ya nguvu spesheli zinazopelekana naswala hili la kuamini wafuasi wote kutoka kwa maaskofu hadi wale walio chini kwenye mpangilio wa kidini huwa linaonyesha umoja wa makubariano katika maswala ya kidini na tabia.Vatican II, Lumen Gentium, § 12 |
Wakatoliki wengi huunga
mkono kuwepo kwa wanawake katika makundi ambayo huongoza
makanisa. |
| Ulaya | Canada | Uhispania | Ureno | Netherlands | Ujeremani | Italia | Australia | Ireland | Marekani |
| Asili mia sitini na tano(65%) | Asili mia sitini na sita(66%) | Asilimia sabinina | Asili mia sabini na moja(71%) | Asili mia themanini na sita(86%) | Asili mia sabinina moja(71%) | Asili mia hamsinina nane(58%) | Asili mia sitini na mbili(62%) | Asili mia sitini na saba(67%) | Asili mia sitini na nane(68%) |
|
Kutoka kwa:: misimamo ya kikatoliki haitaafikiwa kwa misingi ya
kura . |
ama tunadunisha kwa vyovyote vile mpangilio na nguvu zakanisa?
![]() |
|
|
|---|
![]() |
|---|